KiswahiliWhat type of job are you looking for? Uwalimu wa lugha teule ya kiswahili. What languages do you speak (and at what level)? kiswahili. kiwango cha shahada. What State are you looking to work in and why? Amerikani, kiswahili kimeanza kuenezwa nchini humo. What field do you currently work in? uwalimu wa kiswahili na Dini. What fields have you worked in before? uwalimu wa kiswahili. What qualifications do you hold? shahada ya kiswahili na dini. Which do you consider more valuable? Formal education or skills and why? Ujuzi bila shaka,huenua hisia za kukikomaza kiswahili kati ya wanagenzi. Describe the benefits of working with others Husaidia kuchangabia hasa katika maswala nyeti ya kiswahili ulimwenguni. Describe the benefits of working alone hujenga ujasiri na ari ya kukiendeleza kiswahili bila wahaka wa upweke. What was your worst working experience? kupoteza hadhira wa lugha ya kiswahili. What is the most important lesson you have learnt throughout your career? kutia chudi, kukipiga pambaja kiswahili na kukieneza ulimwenguni kote. What unique skills do you have? niko na ujuzi wa kuzivuta hisia za watu na kuwa wapenzi papatu wa kiswahili. What would you consider as your 'dream job'? muenezi wa kiswahili duniani What are the most interesting aspects of your field? kuona kiswahili kimesambaa katika nchi zote duniani. What are the least interesting aspects of your field? kukosa au kupoteza hadhira wa lugha teule ya kiswahili. Please replace this with a question of your own Je, wewe wakipiga pambaja kiswahili? How can potential employers contact you? Email:gunmazera@yahoo.com. Phone:+2540728580291. Adress:80100-120 Kinango. |